SWAHILI ORIGINAL ™ | TANZANIA

SUPPORT TANZANIA IN BBA 2012 (HILDA & JOLIO )

May 6, 2012 in NEWS/HABARI

SUPPORT TANZANIA IN BBA 2012 (HILDA & JOLIO )
BIG BROTHA AFRICA IMEANZA LEO JUMA PILI HII.TUUNGANE MKONO NA WATANZANIA WENZETU KATIKA KUWAKILISHA SWAHILI WORLDWIDE.

Gigo Beleav, Gerald Mawenya Inkredble, Jors Bless liked this post

Ting’A JIPYA LA MASHOW KAZI FT SUGU (SISIMBA WALA SIYANGA)

May 3, 2012 in NEW MP3

ISANGA FAMILY WAMEACHIA NGOMA YAO MPYA IITWAYO SISIMBA WALA SI YANGA

SIKILIZA NGOMA HII HAPA

DOWNLOAD NGOMA HII HAPA

ISANGA FAMILY FT SUGU SISIMBA WALA SI YANGA

MASHOW KAZI ISANGA FAMILY

Klennedy St liked this post

New Ting’a toka kwa D WA GHETO-SERIOULY MP3

May 2, 2012 in NEW MP3

SIKILIZA NGOMA HII APA

DOWNLOAD NGOMA HII HAPA CHINI

D wa getto – seriously

Mangwee Herieth Ndossi liked this post

MAJEMBE YA HIPHOP NA RAGGA ARUSHA LIVE ON STAGE

April 29, 2012 in POSTERS&FLYERS

MAJEMBE YA HIPHOP NA RAGGA ARUSHA LIVE ON STAGE

wale wakali wa HIP HOP NA RAGGA WATAKUWA ON STAGE WAKIWASHA MOTO NDANI YA ARUSHA.

NI IJUMAA YA TAREHE 05 MWEZI 05 MWAKA 2012

 

 

 

 

Omary Roca liked this post

VIDEO PREVIEW YA MICHANO KWENYE ANTIVIRUS VOL III ( 20 TRACKS )

April 23, 2012 in VIDEO

VIDEO PREVIEW YA MICHANO  KWENYE ANTIVIRUS VOL III ( 20 TRACKS )

PIA UNAWEZA KUIDOWNLOAD HII VIDEO KAMA MP3 KWA SIMU YAKO

CLICK HAPA CHINI

SIKILIZA PREVIEW YA MICHANO KWENYE ANTIVIRUS VOL III

Jonathan Harold, Cacterz Luiz da Lyimo liked this post

TAARIFA KWA UMMA: SIKILIZA PREVIEW YA MICHANO KWENYE ANTIVIRUS VOL III ( 20 TRACKS )

April 23, 2012 in NEWS/HABARI

TAARIFA KWA UMMA: ILE MIXTAPE YA ANTI-VIRUS AMBAYO MLIKUWA MKIISUBURI KWA HAMU TUNAPENDA KUWATAARIFU YA KUWA IMESHAKAMILIKA NA KAZI ILIYOBAKI KWA SASA NI KUMALIZIA MIXING KWA NYIMBO CHACHE ZILIZOBAKI ILI MZIGO UWEZE KUWEKWA MTANDAONI TAYARI KWA HARAKATI KATIKA LEVEL ZA JUU………

TUNATAMBUA KWA KIASI KIKUBWA NI JINSI GANI MLIVYOKUWA NA HAMU KUBWA YA KUJUA HARAKATI HIZI ZINAENDELEAJE KUHUSU MUZIKI WA HIP HOP TANZANIA……

TUNAPENDA KUWATOA HOFU VINEGA WOTE POPOTE PALE MLIPO,TULISHASEMA HATUOGOPI NA HATUTAKUJA KUOGOPA NA KATIKA KULITHIBITISHA HILI MIXTAPE YA VOL 3 NDIO INAENDELEA KUWAANIKA WEZI,WABADHILIFU,WANYONYAJI,WASHENZI,WAZINGUAJI,WANAFIKI,WAONEVU,WAPIGAJI,WAPINGA HAKI,MAFEDHULI WANAOTUMIA SIKU ZAO ZA KUISHI HAPA DUNIANI KWA AJILI YA KUKANDAMIZA WENGINE ILI WAO WAENDELEE KU-SHINE…………

TRACKS ZIPO 20 ZA UHAKIKA NA ZENYE KUILISHA MITAA,TUNAWAPA PREVIEW ILI MUWEZE KUJUA I KWA KIASI GANI VOL 3 ILIVYOSHIBA HARAKATI ZA UKWELI……TUNAWAPENDA SANA NA PIA TUNASISITIZA SUPPORT TOKA KWENU…ANTI-VIRUS WITH NO APOLOGY!!!!!!

DOWNLAOD PREVIEW HAPA

SIKILIZA PREVIEW YA MICHANO KWENYE ANTIVIRUS VOL III

Gunner's Lee, Tawi Jeusi Ni Fasihi, Doto Mapunda, Noordin Zuberi, Bonny Msabby liked this post

SIJUI ( My Destination ) Oficial Video – Suma G Ft Quick Racka

April 18, 2012 in VIDEO

SIJUI ( My Destination ) Oficial Video – Suma G Ft Quick Racka

Pascô Sakaya, Johson Obed Morani, Mohamed Ally liked this post

TiNG’A JIPYA HISIA ZETU MP3 – MAPACHA & SALU -T

April 12, 2012 in NEW MP3

DOWNLAOD HII TRACK HAPA CHINI

HISIA ZETU MP3 – MAPACHA & SALU -T

Klennedy St, Nsajigwa Joseph Mwandambo, Mponjoli Mwakalinga, Othman Msinde, Anthony Mjukuu, Changas Mwangalela, Innocent Joseph, Ali Wamboi, Mochy Choholo, Jafary Aloya, Tupacisye West Side, Eric Kelvin, Emmanuel Issaya Sued, Gentriez Mwakitabu liked this post

AFANDE SELE ATOA TAMKO LA KESI YAKE…

April 6, 2012 in NEWS/HABARI

Afande Sele The’King akiwa polosi morogoro

 

Ndugu zangu ambao ni mashabiki wangu!!
Juzi wakati nimerejea kutoka Tanga, majira ya jioni ndugu zangu Ballet Wallet(mtupori) , Adam Lumbe na Twenty Percent (20%) walitoka na gari yangu, kwa bahati nzuri au mbaya wakapita maeneo ya NMB hapa Morogoro, wakapaki gari kwa haraka kwa kuwa Adam Lumbe alimuona kijana ambae alimtapeli katika mauziano ya pikipiki,

likatokea zogo!! Polisi waliokuwa Lindo pale Bank wakaja kuizuia gari na pia wakawaweka chini ya Ulinzi Ballet Wallet na Adam Lumbe, licha ya maelezo waliyowapa hawakuwaelewa, 20% akataka kuchukua gari wakamkatalia, ikabidi akodi pikipiki aje nyumbani kunifuata nikafuate gari, nimefika pale Bank polisi wakakataa kunipa gari ili niende kituo kikubwa cha polisi kuwawekea dhamana ndugu zangu kwa kuwa muda huo Ballet na Adam walikua washapelekwa kituoni, kilichotokea baada ya hapo nilielezwa nisubiri gari ya doria nipewe Eskoti mpaka polisi lakini baada ya kufika gari ya doria wakiwa na wanamgambo wa manispaa walituvamia na kuanza kutupiga marungu na kutujerehi, wananchi ambao ni kama ndugu zangu wanamorogoro wakasogea eneo la tukio,

Polisi wakafyatua risasi hewani kuwasambaratisha tukapelekwa Polisi kituoni, pale hatukuchukuliwa maelezo haraka, baadae tukatoa maelezo baada ya wale mabwana wadogo askari kupata amri toka kwa wakubwa wao!! Jana tukafikishwa mahakamani tukakosa dhamana, tukapelekwa ngome (jail) tukiwa kama mahabusu, leo kwa bahati nzuri tumepata dhamana, na tumeweka wanasheria makini kusimamia HAKI yetu. si kweli hata kidogo kuwa kwenye gari yangu kulikua na silaha za kijadi kwa lengo la kumdhuru mtu, walikuta fimbo yangu ile ya Mfalme wa rhyemes na kisu au kama panga ambao ni kitu cha kawaida kuwa nacho kwenye gari, na si kweli hata kidogo kuwa Ballet alikua kavaa kic..p* tu.

Ndugu zangu wapendwa watanzania wenzangu,na mashabiki wetu kiukweli hali za jela na selo zetu ni mbaya mazingira mabovu ndugu zetu wanateseka. Nilitumia muda mchache niliokua kuwa kule kuwafariji na kuwapa moyo ingawa nilienda kwa Matatizo, na muda huu nipo hapa Nyumbani Misufini na Twenty Percent na Ballet pamoja na ndugu wengine! Tumechinja Mbuzi kama Sadaka au dhabihu kwa Mungu na kuchoma, kuelekeza moshi kwake kama ishara ya kumpenda na kushukuru kwa yote!! mwisho tunaomba radhi kwa mashabiki wetu wote kwa usumbufu mulioupata. ASANTENI KWA FARAJA ZENU KWANGU WAKATI WOTE ,Ni mimi
SELEMANI ABDALLAH JUMA MUTABHAZI MSINDI .. KING OF RHYEMEZ. (AFANDE SELE)

SWAHILI ORIGINAL INATOA POLE SANA KWA NDUGU ZETU HAWA.TUKO PAMOJA

Deogratius Mchonde liked this post

NAMBA ZA SIMU ZA KIJANJA | CALL 0654 063636 TO ORDER YAKO

April 6, 2012 in POSTERS&FLYERS